Elimu na Maarifa

$ 20.00

Categories: ,

Description

Elimu na Maarifa katika Maendeleo Vijijini.

Kimesanifiwa na kutafsiriwa na Noor Meghji Mbakile, Juventine Dotto na Jesper Kirknæs, 1994.

178 pages, 21×30 cm.

Kitabu hiki kimeandikwa kwa madhumuni ya kutoa elimu ya pekee kwa wakazi wa vijijini, ambao ni wazalishaji, wakulima, wafugaji na wengine wanaofanya shughuli zao mbali mbali za uzalishaji vijijini na hata mijini.